• raymhtz2

BIDHAA ZA PLASTIKI KUTENGENEZWA KIBAHA

Kiwanda cha kutengeneza bidhaa za plastiki vikiwemo, viatu, ndoo, mabeseni, viti, na vifungashio kipo katika hatua za mwisho za ujenzi. Kiwanda hicho kinachojengwa maeneo ya Picha ya Ndege wilayani Kibaha kitajulikana kwa jina la Wenxing Plastic Cement Investment Co. Ltd, na mara ujenzi huo utakapokamilika, kiwanda kitakua na uwezo wa kuajiri hadi watu 500.


Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mhe. Eng. Martin Ntemo (mwenye suti ya blue) akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha Wenxing Plastic Cement Investment Co. Ltd

12 views
RECENT POST