• By Humphrey Makussa

DC KIBAHA AWAFUNDA ASKARI KABLA YA UCHAGUZI MKUU 2020Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mheshimiwa Eng. Martin Ntemo awaasa askari ambao watakuwa katika zoezi la kusimamia amani wakati wa uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Kundi hilo la askari linalojumuisha askari Polisi pamoja na Mgambo lilikutanishwa ili kupata miongozo ya namna ya kutekeleza wajibu wao katika kipindi hicho cha uchaguzi hadi kutangaza matokeo.

“Fanyeni kazi kwa weledi na uadilifu, dhamana mliyopewa ni kubwa kwani msipo kuwa makini mnaweza kusababisho vurugu na hivyo kuhatarisha amani iliyopo” alisisitiza, Mkuu huyo wa Wilaya alipokutana na askari hao mjini Kibaha kwa upande wa Halmashauri ya Mji Kibaha na huko Mlandizi kwa upande wa Halmashauri ya Kibaha Vijijini.

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha akiongea na askari mjini Kibaha kabla ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba, 2020

Askari wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kibaha alipokuata nao kabla ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba, 2020

Askari wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kibaha alipokuata nao kabla ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha akiongea na askari huko Mlandizi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba, 2020

Askari wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kibaha alipokuata nao huko Mlandizi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba, 2020

Askari wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kibaha alipokuata nao huko Mlandizi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba, 2020

17 views
RECENT POST