• raymhtz2

DC WA MAFIA AFANYA ZIARA FUPI KUKAGUA UJENZI WA GATI (RAMP) KILINDONI.

Mamlaka ya Bandari Tanzania wilayani Mafia: DC Mafia, Mhandisi Martin Ntemo na Mkurugenzi Mtendaji wa BQ Contractors Mhandisi John Bura wafanya ziara fupi kukagua ujenzi wa Gati (Ramp) ya TPA unayoendelea eneo la Kilindoni mnamo tarehe 28.08.2021


2 views
RECENT POST