• By Humphrey Makussa

MGOGORO WA ARDHI ZEGERENI ITABAKI HISTORIA-DC

Updated: Jan 19, 2021


Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Eng. Martin Ntemo ametanabaisha kuwa mgogoro wa ardhi wa wanakijiji wa Zegereni na wanunuzi wa ardhi hiyo uliodumu kwa muda murefu toka mwaka 2015. Mgogoro huo Sasa utakwenda kuwa historia kwa kuwa maazimio yaliyofikiwa alipofanya mkutano na wanakijiji hao akiwa na kamati nzima ya ulinzi na usalma ya wilaya, ni imani yake kwamba mgogogoro umekwisha na zoezi la upimaji litafanyika na hatimaye viwanja hivyo kugawanywa kwa wote wanaostahili. Eng. Ntemo aliyasema hayo alipokua akijibu maswali ya wanahabari ofisini kwake Kibaha mkoani Pwani.

10 views
RECENT POST