• raymhtz2

Mhe. Martin Ntemo Ateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia

Mhandisi Martin Ntemo, zamani mkuu wa wilaya ya Kibaha ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Mafia katika uteuzi uliofanyika jana na Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.


OMWIKI tunakupa pongezi kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya mpya wa Mafia, na tunakutakia kila laheri katika majukumu yako mapya.4 views
RECENT POST