IMG_20201224_092547_edited.jpg
IMG_20201216_132601_0_edited_edited.jpg
Screenshot_2021-01-13-14-32-44_edited.jp
Screenshot_2018-02-09-15-58-34_edited_ed
Humphrey Makussa

Mwandishi

 

MAFIA YETU, UTALII WETU, URITHI WETU, MAENDELEO YETU.

Wapendwa wasomaji wetu karibuni katika tovuti hii (www.omwiki.org) inayokusudia kuwafahamisha shughuli mbalimbali za maendeleo zinazotekelezwa katika wilaya ya Mafia iliyopo mkoa wa Pwani nchini Tanzania. Tutumie ukurasa huu wa kijamii kama njia mojawapo ya mawasiliano na kupashana taarifa zinazohusiana na mafanikio na changamoto katika wilaya ya Mafia. 

Maoni yenu wasomaji kuhusu upatikanaji wa huduma zinazotolewa na taasisi mbalimbali katika wilaya hii ni muhimu kwa lengo la kukumbushana wajibu wa kila mmoja wetu ikiwa ni pamoja na kufuatilia utekelezaji wa mipango na ahadi zinazoendelea kutolewa katika ngazi zote.

Nyote mnakaribishwa na Asanteni kwa kutufuatilia.

Sign Up

AND STAY UPDATED!
RECENT POSTS